MIRADI AYO
Ni mtangazji
wa tv na redio station pia ana run
website yake mwenyewe inayo julikana kwa “miradi ayo”
Amekuwa ni
mtangazaji mwenye ushawaishi mkubwa kwa vijana na kuwa mfano wa kuiigwa
Miradi ayo
amezaliwa na kusoma elimu yake mkoani Arusha kabla ya kujiunga na chuo cha
utangazaji EAST AFRICA TRANING INSTITUTE
Ila kwa
upande wa darasani miradi ana kili hakuwa mzuri kiasi cha kufikia hatua ya
kuamini pengine ye maisha yake hayako upande wa elimu
CHANGAMOTO
Akizungumza
na blog hii miradi anasema “kipindi ambacho kilikuwa kigumu ni pale baba yangu
alipopata ajari ya gar ambalo alikuwa akilitegemea kuingizia kipato uchumi
ukayumba sana pale nyumbani ”
MTU MABAYE ATAMSAHAU
Mtangazaji huyo
mwenye sauti ya kipekee akiwa hewani anasema
mtu ambaye hatokuja kumsahau katika maisha yake ni mjomba wake gablier
robart ambaye alikuwa ametokea malekani na kufikia pale home na kuongea na mama
wa miradi ayo kuhusu kitu anacho kipenda miradi. nayeye akachukua jukumu la
kumsomesha katika chuo cha utangazaji cha east Africa institute
MAFANIKIO
Miradi ameshinda
tuzo za watu mala mbili 2015 katika kipengela cha
Blog/website
inayopendwa na watu miradi ayo.com
imeshinda
2014
ameshinda mtangazaji wa redio anayependwa na watu
Ana miliki
tv ya online AYO TV ambayo imekuwa gumzo sana
Pia ana
mpango wa kufungua radio station yake mwenyewe amesha nunua vifaa bado mambo madogo
ambayo anayaweka sawa amehaidi kama atakamilisha atatutalifu
UJUMBE
KUTOKA KWA MIRADI AYO
Ili ufanikiwe
unahitaji kuwa mvumilivu na mchapakazi pamoja na heshima kwa rika zote
We ni
wathamani endelea kuwa pamoja na mimi ili kuendelea kupata habari zinapotufika
pia usisahau. ku subscribe chanel yangu ya youtube.pamoja na facebook na
twitter
“Wewe ni wa
thamani kwangu”



