Pages - Menu

follow

29/07/2015

PIGO Hatimaye Bobbi Kristina afariki dunia


Bobbi Kristina ambaye ni binti pekee wa mastaa Boby Brown na Whitney Housto amefariki jana jumapili katika kituo cha Peachtree Christian Hospice,Duluth, Georgia ikiwa ni miezi sita tangu Jan 31 alazwe hopspitali chini ya uangalivu baada ya kukutwa mwili na uso wake ukiwa umezama katika sinki lamaji nyumbani kwake Atlanta ambako alipokuwa akiishi na mwanaume aliyekuwa akimuita mumuwe,Nick Gordon.

Afisa mmoja wa kituo cha afya cha The Fulton County Medical Examiner alithibitisha kifo cha Bobbi Kristinajumapili usiku.
Mastaa kibaoo akiwamo wshindi wa tuzo za Grammy Missy Elliot walituma salamu za pole na rambi rambi kwa familia,Missy aliandika"My heart is truly heavy. May u rest in peace with your mommy #BobbiKristina sending prayers 2 the Brown/Houston family."
Stara wa tamthilia ya "Empire" Taraji P. Henson alitwee, "Rest in heaven."
"RIP #BobbiKristina My deepest sympathies 2 your father #BobbyBrown n your GrandMa #CissyHouston We will miss ya 4sho darling ;)
Mcheza fillamu Vivica A. Fox aliandika ''Peace at Last!"
Wengine ni P Diddy,Ludacris,Snoop Dogg.
 
 kuwa pamoja na mimi ili kupata habari kila zinapotokea. na pia usisahaukusubscribe my youtube chanel ili kangalia video mpya na movie mpya keytuc tz 
                                                    "wewe ni wa thamani kwangu''
. kuwa pamoja na mimi ili kupata habari kila zinapotokea. na pia usisahaukusubscribe my youtube chanel ili kangalia video mpya na movie mpya keytuc tz "wewe ni wa thamani kwangu"

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
kuwa pamoja na mimi ili kupata habari kila zinapotokea. na pia usisahaukusubscribe my youtube chanel ili kangalia video mpya na movie mpya keytuc tz "wewe ni wa thamani kwangu"

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

hatimaye Mariah Carey kuwekewa nyota Hollywood Walk of Fame



Mariah Carey sasa kuwekewa nyoota ya heshima.
Wahusika na mchakato wa uwekaj nyota a heshima wa Hollywood Walk of Fame wametangaza kumpatia nyota ya heshima mahiri Mariah Carey Aug. 5.Msemaji anayeshusika na Hollywood Walk of Fame amesema,Mariah Carey aliakiwa kupatiwa nyota hiyo ya heshima mwaka 2007 lakini kutokana na ratiba kupishana hawakuweza kukamilisha zoezi hilo.



Hollywood Walk of Fame ni njia ya miguu iliopo mjini Hollywood Boulevard na Vine Street huko Hollywood, Los Angeles, CaliforniaMarekani, ambayo hutumiwa kama sehemu ya maonyesho ya burudani. Imetiwa zaidi ya nyota yenye-pembe tano 2,000 ikiwa na majina sio ya binadamu mashuhuri peke yake bali hata yale ya wahusika wa katuni pia wamepewa nyota kwenye Hollywood kwa mchango wao katika tasnia ya burudani. Nyota za kwanza zilitolewa mnamo mwezi wa Septemba katika mwaka wa 1958 na kuwekwa kwenye njia ya miguu kwenye kona ya kaskazini mwa Hollywood Blvd. na Highland Ave
 
 .
kuwa pamoja na mimi ili kupata habari kila zinapotokea. na pia usisahaukusubscribe my youtube chanel ili kangalia video mpya na movie mpya keytuc tz
                                             "wewe ni wa thamani kwangu" 
 

New video

simu tv

simu tv

MPIGIE KURA WAKAZI

MPIGIE KURA WAKAZI