Pages - Menu

follow

29/07/2015

hatimaye Mariah Carey kuwekewa nyota Hollywood Walk of Fame



Mariah Carey sasa kuwekewa nyoota ya heshima.
Wahusika na mchakato wa uwekaj nyota a heshima wa Hollywood Walk of Fame wametangaza kumpatia nyota ya heshima mahiri Mariah Carey Aug. 5.Msemaji anayeshusika na Hollywood Walk of Fame amesema,Mariah Carey aliakiwa kupatiwa nyota hiyo ya heshima mwaka 2007 lakini kutokana na ratiba kupishana hawakuweza kukamilisha zoezi hilo.



Hollywood Walk of Fame ni njia ya miguu iliopo mjini Hollywood Boulevard na Vine Street huko Hollywood, Los Angeles, CaliforniaMarekani, ambayo hutumiwa kama sehemu ya maonyesho ya burudani. Imetiwa zaidi ya nyota yenye-pembe tano 2,000 ikiwa na majina sio ya binadamu mashuhuri peke yake bali hata yale ya wahusika wa katuni pia wamepewa nyota kwenye Hollywood kwa mchango wao katika tasnia ya burudani. Nyota za kwanza zilitolewa mnamo mwezi wa Septemba katika mwaka wa 1958 na kuwekwa kwenye njia ya miguu kwenye kona ya kaskazini mwa Hollywood Blvd. na Highland Ave
 
 .
kuwa pamoja na mimi ili kupata habari kila zinapotokea. na pia usisahaukusubscribe my youtube chanel ili kangalia video mpya na movie mpya keytuc tz
                                             "wewe ni wa thamani kwangu" 
 

No comments:

Post a Comment

New video

simu tv

simu tv

MPIGIE KURA WAKAZI

MPIGIE KURA WAKAZI