ELIMU alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi ya kimanga,wilaya ya ilala jijini dar es salaam kabla ya kuendelea na masomo ya sekondari katika shule binafsi ya WHITE LAKE SECONDARY SCHOOL iliyopo eneo la changanyikeni jijini dar es salaam kisha kumaliza masomo ya sekondari katika shule ya SOUTHERN HIGHLAND SECONDARY SCHOOL iliyopo soweto jijini mbeya.aliendelea na masomo ya elimu ya juu katika shule ya KIGOMA BOYS HIGH SCHOOL kabla ya kumalizia katika shule ya MBEYA HIGH SCHOOL na kisha kujiunga na masomo ya elimu ya juu katika taasisi ya usimamizi wa fedha IFM mwaka 2013.
MUZIKI alipenda mziki tangu akiwa mtoto,anasema "familia yetu inapenda mziki sana,mama na dada zangu wote waliimba kwaya katika vipindi tofauti,na wengine bado wanaimba mapka sasa".alikuwa anakariri nyimbo za wasanii mbalimbali wakubwa hapa Tanzania kama professor jay,afande sele,juma nature na solo thang na hata watu walikuwa wakimpa pesa ili awaimbie baadhi ya nyimbo zilizotamba wakati huo.anasema "nilipata inspiration kubwa kutoka katika album ya MACHOZI JASHO NA DAMU ya professor jay"
HARAKATI ZA KUTOKA
KIMZIKI alijiingiza rasmi katika muziki mwaka 2007 kwa kushiriki katika
matamasha na mashindano mbalimbali ikiwemo SM STRAIGHT MUZIK FREESTYLE
BATTLE mwaka
2010 mkoani iringa.mwaka 2011 alikutana na producer aliyemwinua duke
touchez."duke alinipa mwongozo wa jinsi ya kijiunga na tamadunimuzik
ambayo kwa kipindi hicho ilikuwa inatafuta vipaji vipya kwa ajili ya
foundation" dizasta alishiriki mashindano ya kurap katika tamasha la
kuachia santuri 5 kwa mpigo (african son ya stereo,sauti ya jogoo ya nikki
mbishi,mzimu wa shabaan robert ya nash mc,underground legendary ya duke touchez
na mathematrix ya songa na ghetto ambassador) na kufanikiwa kujiunga rasmi na
tamadunimuzik.
Nyimbo alizo
fanikiwa ku record- mwaka 2012 alifanikiwa kuachia wimbo wake rasmi
HARDER www.mdundo.com/song/12799 na kushiriki katika nyimbo kadhaa za
kushirikiana the ultimate
,sautiyamtaa (http://www.reverbnation.com/dizasta4/song/18691461-mkemia-dizasta-dubo-n-phil-techniques) kwa kipindi cha kati ya mwaka 2012 na
2013.mwaka 2013 aliachia track nyingine iliyokwenda kwa jina
la tega sikio www.mdundo.com/song/12837 ,goli la ushindi www.mdundo.com/song/12836 .kisa cha nyumba ndogo www.mdundo.com/song/15974 na sister www.mdundo.com/song/20014 alishiriki kwenye underground project ya
producer AK 47 iliyokwenda kwa jina la heavyweight akishirikiana na msanii tifa
flows www.mdundo.com/song/12838 pia katika project ya uwezo ya producer
ngwesa katik track ya miss tamaduni akishirikiana na jeff duma www.mdundo.com/song/15525 .mwaka huo huo alishiriki katika album ya
upande wa pili wa sarafu ya producer abby mp,project ya kilinge ya duke
touchez,album ya kiutu uzima ya msanii kadgo,mixtape ya slow jams ya producer
innocent mujwahuki,tamaduni foundation ya ngwesa na representing africa popote
ya one the incredible
tayari ameshaachia track mwaka 2015 inayokwnda kwa jina la kijogoo www.mdundo.com/song/25504 ,ameshirikikatika project ya siku nikifa ya kipepe www.mdunndo.com/song/24731
IMANI dizasta vina ni muumini wa dini ya kikristu na anaabudu katika dhehebu la kikatoriki,anashiriki katika sala na misa kila anapopata wakati.anasema "kuna muda utafika muziki hautakuwa mwokozi wako,lazima na tutambue kuwa kuna maisha baada ya kifo hivyo tujiandae"
NJE YA MUZIKI dizasta VINA ni mwanafunzi wa mwaka wa pili akichukua stashahada ya kwanza udhamiri katika uhasibu (bachelor degree in accountancy) 2015.ni mpenzi wa mpira wa miguu na ni mshabiki wa kutupwa wa timu ya yanga na arsenal.dizasta ni mpenzi wa mchezo wa kuogelea pia ni muogeleaji mzuri.

PAKUA NYIMBO NYINGINE ZA DIZASTA VINA HAPA
foundation www.mdundo.com/song/12840
word play feat shaolin www.mdundo.com/song/24733
bado nzito feat one n dubowww.mdundo.com/song/12839
siku nikifa www.mdundo.com/song/24731
kijogoo www.mdundo.com/song/25504
goli la ushindi www.mdundo.com/song/12836
HANA
PATIKANA KATIKA MITANDAO HII YA KIJAMII
Facebook- dizasta
vina
Tweeter-@dizastavina
Instagram-@dizastavina

