24/02/2015
JUX
Juma Mussa, a Tanzanian RnB singer that records
under the mononym Jux was born in 1989 and grew up in Dar es Salaam,
Tanzania. Jux started doing music in 2005 by the age of 16 doing a rap kind of
music.
In
2008 Jux joined Cyril Kamikaze and Nigga Flo, of the group
‘Wakacha”,becoming the vice president of the group. In the end of
that year Jux decided to record his first solo track,working
with A.M record label, where he got persuaded to change his Rap
style of music and turn to RnB. Under producer Manecky, Jux’s first RnB
single that goes by the name “Nimedata” was recorded and released that year,
which did surprizingly well than he had expected NASH MC HIZI ndio t shert kali
Msanii wa hip hop chini nash mc zuzu aja na tishet kali kwa mashabiki wake kwa bei poa na
nafuu ya sh 15000 ya kitanzania au kwa maelezo zaidi piga no 0713 900 994,0769 522 346 na hii ni kwa mkoa wowote nchini
nafuu ya sh 15000 ya kitanzania au kwa maelezo zaidi piga no 0713 900 994,0769 522 346 na hii ni kwa mkoa wowote nchini
23/02/2015
witnes awakasilikia wanaume
ONYO kama unaniletea dili niletee ila usitegemee kugusa hata kipande
changu cha mwili,inawezekana nina shida ya dili ila sina umaskini wa
akili, inawezekana viungo vyangu sijavilipia ila haimaanishi ni vya
kugawa ovyo bila heshima na mpangilio, hii kitu si kifuu wala si tishu
ni kitu cha thamani na utambulisho wangu ni ajiri ya mpenzi wangu na
kuzalishia wanangu ili kuijaza dunia, so plz jiheshimu kama una nia hizo
plz ishia huko huko dont waste my time,mpaka nimeamua kusema hivyo
wamezidi yaani unafanya appointment ya kibiashara anatumia kama njia ya
kutaka kulala na wewe huku anajidai anataka kukusaidia, alaah #stupidmazakafaz,
kama mmezoea haka kamtindo na artist wengine wa kike wanotumia umaarufu
wao kama njia za kufanyia biashara ya ngono, siyo mimi hapa kazi tu
mapenzi kwenu!
Subscribe to:
Comments (Atom)
New video
simu tv
STORY TELLING
MPIGIE KURA WAKAZI




