KEYTUC Tz
Joseph Audax alizaliwa tar 1-6-1992 Jijin dar es saalam katika hospital ya mwananyamala
.keytuc ni mtoto wa kwanza katika familia ya Mzee Audax akiwa na wadogo zake
wawili
Elimu ya
msingi alipata katika shule ya kumbu kumbu iliyopo wilaya ya kinondoni
alimaliza 2005. Form 4 alimaliza
katika shule ya sekondari Osterbay mwaka 2009. Nkujiunga na chuo cha
Information technology mwaka 2014 na
kumaliza 2015. Joseph ni mumin wa
Dini ya kikristo pamoja na familia yake.
MAISHA NA SANAA
Keytuc ana
jihusisha na maswala ya GRAPHICS
pamoja na Uandishi wa story na Uandishi wa nyimbo za aina tofauti tofauti kama
Hip Hop na R&B .pamoja na hayo yote anandika scripty za movie na video
music.
MITANDAO YA KIJAMII ANAYO PATIKANA
Twitter @keytuc
tz
Facebook keytuc tz
Instagram keytuc-tz
kitusi.kidogo@gmail.com
