ONYO kama unaniletea dili niletee ila usitegemee kugusa hata kipande
changu cha mwili,inawezekana nina shida ya dili ila sina umaskini wa
akili, inawezekana viungo vyangu sijavilipia ila haimaanishi ni vya
kugawa ovyo bila heshima na mpangilio, hii kitu si kifuu wala si tishu
ni kitu cha thamani na utambulisho wangu ni ajiri ya mpenzi wangu na
kuzalishia wanangu ili kuijaza dunia, so plz jiheshimu kama una nia hizo
plz ishia huko huko dont waste my time,mpaka nimeamua kusema hivyo
wamezidi yaani unafanya appointment ya kibiashara anatumia kama njia ya
kutaka kulala na wewe huku anajidai anataka kukusaidia, alaah #stupidmazakafaz,
kama mmezoea haka kamtindo na artist wengine wa kike wanotumia umaarufu
wao kama njia za kufanyia biashara ya ngono, siyo mimi hapa kazi tu
mapenzi kwenu!

No comments:
Post a Comment