Song huna jipya
Vers 1
Hunakumbuka ile siku unafika dar kila ulichokiona ulishangaa
Tabu sanaa ubungo
kila upande unaushangaa njiani unapiga watu vikumbo
Unagauni la duka
mbele umesuka twende kilioni kwa mbele zimefumuka
Ila wala haukujali ukajiona mwali mwnye
kila sifa bora ya kujivisha ufahali
Tukafika zetu home kiwalani
maskani bom bom ndo nyumbani
Hadi kwa mama p msalimie mzazi
alikuleta dar ili
utupunguzie kazi
Hautoishi kama house girl zaidi ya ndugu
ila kupita mwezi
ikawa kutwa vurugu
Hukatekwa na jiji
ujanja ukakupa kichwa
taratibu tabia
ikaanza kubadirika
chorus p the mc
Pole kwa yalio kukuta hili jiji umelikimbilia kwa pupa sasa
umepoteza dila
Hakuna unachoweza kufanya zaidi ya kujuta
Vers 2 p the mc
Hukaanza michongo ya kuilubuni bajeti
hunapika ndondo ili
Uende saloon ukaset
ukaanza resi majanga haueleweki
Ukiagizwa tu sokoni hunajipamba haielezeki
Hubaya mama alipo kupatia simu
mi nadhani hiyo ndiyo
iliyo kutia wazimu
Siku tu hushagawa namba kitaa kizima
hukashuka bei yaani utadhani bidhaa ya kichina
Mpaka tola mlevi asie na maana
eti akikukosa basi p the mc na bana
Unanifanya naonekana sina maana au
lengo lako mi nigombane na kila mwana
Wanakuitwa namba one kwa ubunifu
we kila kiwanja iwe
mchangani ama tifu tifu
Navishwa ubaya naibika naona haya
sababu ni wewe
umeshahalibika kwa umalaya
chorus p the mc
Pole kwa yalio kukuta hili jiji umelikimbilia kwa pupa sasa
umepoteza dila
Hakuna unachoweza kufanya zaidi ya kujuta
Ver3
Mala ukanza mitego ya kuninyemelea
kulinda heshima ya
home mi Nikakupotezea
kukutosa ukaanza tangaza mbovu
eti sina makeke siyo
mess ni baba tovu
Sitaki ma kuu kupenda unafuu
wakati kitaa kuna
nyomi la masista duu
Yote uliyo yafanya ikawa haitoshi
we ndo kocha wa
umalaya ukaanza gawa vikosi
Ukajenga bonge la kundi malafiki ukija nao home kivumbi hapa
kakaliki
Wengi wa mesha lewa ,mitungi chupa za wisk
wengine mi bang hadi
mavumbi wanashiliki
Muende bar kukesha mpendwe
na wenye pesa
mkate mbuni zaidi zidi
ya wenge twanga pepeta
Mwanzoni hulijiona dili sasa una mimba
na miwaya
tumeshaziona kila dalili
chorus p the mc
Pole
kwa yalio kukuta hili jiji umelikimbilia kwa pupa sasa umepoteza dila
Hakuna
unachoweza kufanya zaidi ya kujuta

No comments:
Post a Comment