Nyimbo SONGA BEKI 3
- FT ALUMERU
Producer- mujwa huki
Vers songa
Ni mzuli kwa mboni ana staha za ki sister
Kafundwa unjagoni takribani miaka sita
Tamaa hazigomi zinajaa akipita anadunda huyu shujaa mwenye
slaha za ki vita
Ujana na mwendo kielimu hana malengo sababu ya huwezo duni alishia kutazama majengo
Muumba wa hupendo hakumtupa huyu mrembo aliye sumbuka ila
ametukuka kwa mapendo
Akapata dili mjini
kuna mama tajiri anaitaji mfanya kazi ila siyo kazi imchape
Akafikiri kuna haja ya kusafiri ikabidi hawache wazazi ili
kazi haifate
Amepauka kama jinsi
ya mtumba kichwani husia mwingi wa dingi na bi mkubwa
Kuwa makini hii dunia haifai utapoteza uhai mjini ukitulia
utafulai
Chorous ALUMERU
Huu sio mwisho
Bali ni mwanzo wa mengi majuto na mateso
Yatokanayo na yake mapito ni mwanzo oo majuto oo na mateso
oo ya mapito oo
Vers 3 songa
Binti akabaki njia panda pa kupanda hakujua ikabidi hamulize
mama vipi baba akijua
Hawezi jua mi ndo baba mwenye nyumba kama hakijua nitakupa
pesa hutapanga chumba
Kigugumizi akapigwa
mabusu ya wizi huyu beki hakukaba sana akaluhusu mashambulizi
Kweli huktaka ngoma nenda msondo
Beki akwa noma na akaanza kucheza ndondo
Mama alihisi na
mwisho akagundua
Akamfukuza binti na kumpa vitisho vya kumuua
Dingi hakujua aliye mwamini kasha umia
Wali mpa pesa nyingi ila ukimwi wameambulia
Wanajutia huamuzi waliochukua huku binti analia
Vipi wazazi wakijua
Take one kama zamaradi akuteme
Leo hii analudi bush na zawadi ya umeme!

No comments:
Post a Comment