hiki ndicho kipaji kingine cha willow smith
Mtoto
wa muigizaji maarafu Will smith 'willow smith' ambae ana umri wa miaka 14,
ameanza kuonesha uwezo wake mwingine kwenye tasnia ya mitindo ,hizi hapa ni
picha zake mpya kwa ajili ya kitabu cha fashion cha CR, akiwakilishisha kampuni
mbili anazofanya nazo kazi
No comments:
Post a Comment