Pages - Menu

follow

23/03/2017

Funza mc without you LYRICS


                             

 Producer –cjamoker
Intro
Isho boy allan king  anh yah
Whasap bby yeh you know anh 


Vers 1
Upendo wako umeniteka mama Lao
Sitaki nikukose amini mimi ndo Ngao
Kwa job nikitoka ma kiss my like Waoh
Yea my like waoh anh my like Waoh
Nasikia mtani wana bonga kisa nipo nawe wana Chonga
Ujue ukinitupa nitakonda Ujue bila wewe siwez Songa
Mapenz unayonipa nime data kiukweli ukinitupa Nitafyata
Popote utakapokwenda nita kufuata nataka tuwe wawili kama Pacha
Mapenzi unayo nipa nimechanganjikiwa kama nikiwa kando ya Ziwa
Nikiwa na wewe na hisi napaa embu ongeza zaidi ili niwe na Furaha


Chorus
Siwezi kuishi bila wewe siwezi kuish mbali Nawe +2
She my one and only your special for Me +2


Verse2 


Dreams zimekwenda yaan very Nice
God ame bles love think Twice
Tusije furia kama mr nice  very nice so Good
Twende phildefhia honey moon nipige magoli kama ya Loon
Upate mototo very soon tununue Tv acheki cartoon za tom na Jerry
Love uki ni cheat nita feli end of the day utaenda hHell
moyo utazima kama pc ya Dell
Shory we ndo ma paradise vile ume ni fit yan full Size
Bby follow me mkono kwenye Shoder
Usiwe na hofu yeah am here Solider

Chorus 


Siwezi kuishi bila wewe siwwez kuish mbali Nawe +2
She my one and only your special for Me +2
Ni wewe unae nipa Faraja
Ni wewe unae nipa furaha anha anha aa Enh ee
Ni wewe unae nipa faraja anha a A h

ALLAN KING BIOGRAPHY

                                        

 ALLAN KING BIOGRAPHY

Kwa jina la stage anajulikana kama Allan king ila jina halisi  Allan laulence
Ni mzaliwa wa mkoa wa Songea unaopatikana katika nchi ya Tanzania ni mototo wa 2 katika familia yam zee laulece akiwa na dada zake watatu na kaka yeke mmoja . allan king amepata elimu yake ya msingi katika shule ya Boko iliyopo wilaya ya kinondoni mkoani  dare s salaam na kuhitimu elimu yake ya awali mwaka  2007.
Harakati za muzk alizianza 2004 akiwa shule ya msingi boko ila kufanya mziki rasmi mwaka 2011
Mpaka sasa amefanikiwa kurekodi nyimbo tatu
Without you aliyo shilikiana na msanii wa rnb suku star nyimbo nyingine kare remix liyo ifanyia kava nyimbo ya wakali kutokea Kenya p-unity kwa upande wa dini yeye ni muhumin wa dini ya kikristo akitpkea dhehebu ya Roma. Kwa hapa nchini ni mwana chama wa chama cha  Chadema kinacho ongozwa na Edward lowasa. Mpaka sasa ajaoa na ana mpenzi  wala  ana mtoto.   

    New video

    simu tv

    simu tv

    MPIGIE KURA WAKAZI

    MPIGIE KURA WAKAZI