Pages - Menu

follow

23/03/2017

ALLAN KING BIOGRAPHY

                                        

 ALLAN KING BIOGRAPHY

Kwa jina la stage anajulikana kama Allan king ila jina halisi  Allan laulence
Ni mzaliwa wa mkoa wa Songea unaopatikana katika nchi ya Tanzania ni mototo wa 2 katika familia yam zee laulece akiwa na dada zake watatu na kaka yeke mmoja . allan king amepata elimu yake ya msingi katika shule ya Boko iliyopo wilaya ya kinondoni mkoani  dare s salaam na kuhitimu elimu yake ya awali mwaka  2007.
Harakati za muzk alizianza 2004 akiwa shule ya msingi boko ila kufanya mziki rasmi mwaka 2011
Mpaka sasa amefanikiwa kurekodi nyimbo tatu
Without you aliyo shilikiana na msanii wa rnb suku star nyimbo nyingine kare remix liyo ifanyia kava nyimbo ya wakali kutokea Kenya p-unity kwa upande wa dini yeye ni muhumin wa dini ya kikristo akitpkea dhehebu ya Roma. Kwa hapa nchini ni mwana chama wa chama cha  Chadema kinacho ongozwa na Edward lowasa. Mpaka sasa ajaoa na ana mpenzi  wala  ana mtoto.   

    No comments:

    Post a Comment

    New video

    simu tv

    simu tv

    MPIGIE KURA WAKAZI

    MPIGIE KURA WAKAZI